TANGAZO TANGAZO TANGAZO
MKUTANO WA BARAZA LA MADIWANI
MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA MANISPAA YA MPANDA ANAWATANGAZIA WANANCHI NA WAKAZI WOTE WA MPANDA KUWA, KUTAKUWA NA MKUTANO WA ROBO YA PILI WA BARAZA LA MADIWANI TAREHE 30 NA 31/ 01 2018 KATIKA UKUMBI WA MIKUTANO WA MANISPAA KUANZIA SAA 4:00 ASUBUHI
WOTE MNAKARIBISHWA.
ATAKAYESIKIA TANGAZO HILI AMTAARIFU NA MWENZAKE
Imetolewa na:
Mkurugenzi
Halmashauri ya manispaa ya Mpanda.
Ilembo, Kasimba area
Anuani ya Posta: 216, Mpanda
Simu ya Mezani: +255-2529529
Simu: +255-2529529
Barua Pepe: md@mpandamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa Mpanda. Haki Zote Zimehifadhiwa.