• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Mpanda Municipal Council
Mpanda Municipal Council

Jamahuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa Mpanda

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Mission and Vission
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Afya
      • Ujenzi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii
        • Tasaf
      • Fedha na Biashara
      • Usafishaji na Mazingira
      • Mipango, Takwimu, Uchumi na Tathmini
      • Land and Town Planning
      • Ufugaji na Uvuvi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ufugaji Nyuki
      • Kitengo cha TEHAMA na Mahusiano ya Umma
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Uchaguzi
    • Muundo wa Taasisi
    • Kata
    • Streets
  • Fursa za uwezekezaji
    • Vituo vya Utalii
    • Sekta ya Madini
    • Sekta ya Viwanda
    • Sekta ya Uvuvi
    • Sekta ya Kilimo
    • Sekta ya ufugaji
  • Huduma zetu
    • Elimu
      • Rungwa Sekondari
      • Mpanda Girls Sec School
    • Heath
    • Usafi na Mazingira
    • Maji
    • Ardhi na Maliasili
    • Ujenzi na Miundombinu
    • Woman Empowerment
  • Madiwani
    • List of Counciolors
    • Standing Commitees
    • Time table
      • Vikao vya Madiwani
    • Makablasha/Taarifa za Baraza
  • Miradi
    • Miradi inayo tekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • By laws
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Taarifa
    • Fomu
    • Miongozo
    • Strategic Plan
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za shughuli za ofisi
    • Speech
    • Albamu
    • Makala

Historia

Historia fupi ya Manispaa ya Mpanda

1.0 Utangulizi

Halmashauri ya Manispaa Mpanda ilianza kama Mamlaka ya Mji Mdogo wa Mpanda tarehe 1 Julai, 1990 kwa mujibu wa gazeti la Serikali Namba 137 la tarehe 8, Juni, 1990. Aidha tarehe 1 Julai, 2003 Hati ya kuanzishwa rasmi kwa Mamlaka ya Mji Mdogo ilitolewa na Halmashauri mama (Halmashauri ya Wilaya ya Mpanda).  Miaka miwili baadaye Serikali kupitia gazeti la Serikali Namba 218 la tarehe 29 Julai, 2005 ilitangaza nia ya kuanzishwa kwa Halmashauri ya Mji wa Mpanda.  Hivyo, Serikali ilitangaza kuanzishwa rasmi kwa Halmashauri ya Mji wa Mpanda tarehe 1 Julai, 2007 kupitia tangazo la Serikali Namba 136 la tarehe 29 Septemba 2006. Halmashauri hii  ni  miongoni mwa Halmashauri mpya 13 zilizoanzishwa rasmi katika mwaka wa fedha 2007/2008, na kujitenga kutoka kwenye Halmashauri zao za awali. Halmashauri ya Manispaa ya Mpanda ilitangazwa rasmi tarehe 01, Julai 2015 kupitia tangazo la Serikali Namba 220

1.2 Sura ya Halmashauri ya Manispaa ya Mpanda

Halmashauri ya Manispaa ya Mpanda ni kati ya Halmashauri 5 zilizomo ndani ya Mkoa wa Katavi. Iko upande wa magharibi mwa Tanzania, Halmashauri ya Manispaa ya Mpanda ipo katikati ya mkoa wa Katavi katika safu za miinuko ya Katumba miongoni mwa kanda 5 za kilimo za Mkoa huu waKatavi.  Manispaa inapatikana kati ya latitude 5o 15’ na 7o 3’ na 15-30 kusini mwa ikweta na longitude 30o 31 na 33o00 mashariki mwa Ikweta. Kwa upande wa kaskazini inapakana na Halmashauri ya Wilaya, Mashariki inapakana na Halmashauri ya Nsimbo 

1.2 Hali ya Kijiografia

Manispaa ya  Mpanda ina  hali ya hewa ya joto la kati kwa sehemu kubwa kwa mwaka. Wastani wa joto kwa mwaka ni nyuzi joto 29, Hali ya hewa ya baridi inaanza mwezi wa Juni hadi Julai ikiwa na hali ya baridi ya nyuzi joto 7. Mvua huanza mwezi wa Novemba na huisha mwishoni mwa mwezi wa Aprili. Wastani wa mvua ni mm 1000 hadi 1200 kwa mwaka, ambazo huambatana na radi na ngurumo za hapa na pale

1.3 Eneo la kiutawala

Manispaa ya Mpanda ina ukubwa wa eneo la kilomita za mraba of 527 ambapo kati ya eneo hilo kilomita za mraba 30 ni sehemu ya Maji. Kiutawala Manispaa  ina tarafa 02 kata 15 mitaa 43, vijiji 14 na Vitongoji 78.

1.6 Idadi Ya Watu 

Kwa mujibu wa Sensa ya watu na makazi ya Agosti, 2012 wakazi wa eneo la Halmashauri ya Manispaa ya Mpanda ni 118,150. Kati yao wanaume ni 58,116, wanawake ni 60,034. Ongezeko la watu ni 3.6 asilimia kwa mwaka na ina jumla ya kaya 24,275, ikiwa ni wastani wa watu 4.9 kwa kaya. Kwa sasa (2018) Halmashauri ya Manispaa ya Mpanda inakadiriwa kuwa na watu wapatao 146,081 ambapo wanaume ni 71,855 na wanawake ni  74,226 na Kaya   30,014 

Matangazo

  • THE PROVISION OF CONSTRUCTION SUPERVISION CONSULTANCY SERVICES FOR URBAN INFRASTRUCTURE DEVELOPMENT IN MPANDA MUNICIPALITY UNDER THE TACTIC PROJECT March 06, 2025
  • TANGAZO LA AJIRA ZA MKATABA December 27, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI January 03, 2024
  • KUITWA KAZINI January 06, 2024
  • Tazama zote..

Habari za Hivi Punde

  • RC MRINDOKO AKAGUA MIRADI MANISPAA YA MPANDA

    February 03, 2025
  • RC RINDOKO ASHIRIKI MAZISHI YA AKOFUDKT. LABAN WA KANISA LA NEW HERVEST CHURCH

    February 09, 2025
  • MWENGE WA UHURU WAACHA HISTORIA, MTOTO AZALIWA AITWA MWENGE

    August 31, 2023
  • DC MPANDA AKUBALI KASI NA UBORA UKARABATI HOSPITALI YA MANISPAA YA MPANDA.

    August 31, 2023
  • Tazama zote..

Video

Uzinduzi wa Tovuti mpya kitaifa
Video zaidi.

Kurasa za Haraka

  • Revenue Collection Dashboard for Katavi Region

Tovuti Zinazohusiana

  • TAMISEMI
  • Utumishi wa Umma
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

professional Writing Service

Ramani

Wasiliana Nasi

    Ilembo, Kasimba area

    Anuani ya Posta: 216, Mpanda

    Simu ya Mezani: +255-2529529

    Simu: +255-2529529

    Barua Pepe: md@mpandamc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa Mpanda. Haki Zote Zimehifadhiwa.