• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Mpanda Municipal Council
Mpanda Municipal Council

Jamahuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa Mpanda

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Mission and Vission
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Afya
      • Ujenzi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii
        • Tasaf
      • Fedha na Biashara
      • Usafishaji na Mazingira
      • Mipango, Takwimu, Uchumi na Tathmini
      • Land and Town Planning
      • Ufugaji na Uvuvi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ufugaji Nyuki
      • Kitengo cha TEHAMA na Mahusiano ya Umma
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Uchaguzi
    • Muundo wa Taasisi
    • Kata
    • Streets
  • Fursa za uwezekezaji
    • Vituo vya Utalii
    • Sekta ya Madini
    • Sekta ya Viwanda
    • Sekta ya Uvuvi
    • Sekta ya Kilimo
    • Sekta ya ufugaji
  • Huduma zetu
    • Elimu
      • Rungwa Sekondari
      • Mpanda Girls Sec School
    • Heath
    • Usafi na Mazingira
    • Maji
    • Ardhi na Maliasili
    • Ujenzi na Miundombinu
    • Woman Empowerment
  • Madiwani
    • List of Counciolors
    • Standing Commitees
    • Time table
      • Vikao vya Madiwani
    • Makablasha/Taarifa za Baraza
  • Miradi
    • Miradi inayo tekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • By laws
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Taarifa
    • Fomu
    • Miongozo
    • Strategic Plan
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za shughuli za ofisi
    • Speech
    • Albamu
    • Makala

DC MPANDA AKUBALI KASI NA UBORA UKARABATI HOSPITALI YA MANISPAA YA MPANDA.

Posted on: August 31st, 2023

Mkuu wa wilaya ya Mpanda Jamila Yusuf leo Agosti 31, 2023 amefanya ziara ya kutembelea mradi wa ukarabati na ujenzi wa majengo mapya katika Hospitali ya manispaa ya Mpanda.

Akiingoza kamati ya Usalama ya wilaya ya Mpanda DC Jamila  ameonesha kuridhishwa na ujenzi wa mrandi huo huku akimuagiza mkurugenzi wa Manispaa ya Mpanda kuhakikisha anasimamia kukamilika ujenzi wa mradi huo ifikapo Oktoba 30, 2023.

"Kwa kuona kwa macho tumeridhika na kazi ambayo imefanywa hapa chini ya usimamizi wa wataalamu wetu, bado sehemu chache ambazo bado zinaendelea na ukamilishaji ikiwepo kuwekea vitu kama milango na maeneo machache ambayo yamebaki kwa ajili ya ukamilishaji ili hospitali iweze kukamilika kabisa" Jamila Yusuf, DC Mpanda.

Amewataka watumishi wa Idara ya afya katika manispaa ya Mpanda kufanya kazi kwa kuzingatia maadili ya taaluma ya ili kuondoa malalamiko kwa wananchi wanaowahudumia

"Wananchi watakapofika na kukuta majengo haya yamekamilika na kupendeza basi na huduma zetu na zenyewe ziwe ni huduma zinazorudisha matumaini, lugha iwe ni nzuri, atakapofika mtu kupata huduma hapa akikutana na mtumishi kwa kweli apate matumaini ya kuendelea kuishi na sisi tuna imani na wanaotoa huduma katika wilya yetu ya Mpanda" aliongeza DC Jamila.

Mradi huo  wenye thamani ya shilingi milioni 869.5 umejumuisha ukarabati wa majengo 9 na ujenzi wa majengo mapya manne huku jengo moja likimaliziwa ambapo kwa mujibu wa Mganga mkuu wa Hospitali hiyo Dokta  Lugatha Paul karabati huo umelenga kuboresha huduma kwa wakazi wa manispaa ya Mpanda.

Matangazo

  • THE PROVISION OF CONSTRUCTION SUPERVISION CONSULTANCY SERVICES FOR URBAN INFRASTRUCTURE DEVELOPMENT IN MPANDA MUNICIPALITY UNDER THE TACTIC PROJECT March 06, 2025
  • TANGAZO LA AJIRA ZA MKATABA December 27, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI January 03, 2024
  • KUITWA KAZINI January 06, 2024
  • Tazama zote..

Habari za Hivi Punde

  • RC MRINDOKO AKAGUA MIRADI MANISPAA YA MPANDA

    February 03, 2025
  • RC RINDOKO ASHIRIKI MAZISHI YA AKOFUDKT. LABAN WA KANISA LA NEW HERVEST CHURCH

    February 09, 2025
  • MWENGE WA UHURU WAACHA HISTORIA, MTOTO AZALIWA AITWA MWENGE

    August 31, 2023
  • DC MPANDA AKUBALI KASI NA UBORA UKARABATI HOSPITALI YA MANISPAA YA MPANDA.

    August 31, 2023
  • Tazama zote..

Video

Uzinduzi wa Tovuti mpya kitaifa
Video zaidi.

Kurasa za Haraka

  • Revenue Collection Dashboard for Katavi Region

Tovuti Zinazohusiana

  • TAMISEMI
  • Utumishi wa Umma
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

professional Writing Service

Ramani

Wasiliana Nasi

    Ilembo, Kasimba area

    Anuani ya Posta: 216, Mpanda

    Simu ya Mezani: +255-2529529

    Simu: +255-2529529

    Barua Pepe: md@mpandamc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa Mpanda. Haki Zote Zimehifadhiwa.