• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Mpanda Municipal Council
Mpanda Municipal Council

Jamahuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa Mpanda

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Mission and Vission
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Afya
      • Ujenzi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii
        • Tasaf
      • Fedha na Biashara
      • Usafishaji na Mazingira
      • Mipango, Takwimu, Uchumi na Tathmini
      • Land and Town Planning
      • Ufugaji na Uvuvi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ufugaji Nyuki
      • Kitengo cha TEHAMA na Mahusiano ya Umma
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Uchaguzi
    • Muundo wa Taasisi
    • Kata
    • Streets
  • Fursa za uwezekezaji
    • Vituo vya Utalii
    • Sekta ya Madini
    • Sekta ya Viwanda
    • Sekta ya Uvuvi
    • Sekta ya Kilimo
    • Sekta ya ufugaji
  • Huduma zetu
    • Elimu
      • Rungwa Sekondari
      • Mpanda Girls Sec School
    • Heath
    • Usafi na Mazingira
    • Maji
    • Ardhi na Maliasili
    • Ujenzi na Miundombinu
    • Woman Empowerment
  • Madiwani
    • List of Counciolors
    • Standing Commitees
    • Time table
      • Vikao vya Madiwani
    • Makablasha/Taarifa za Baraza
  • Miradi
    • Miradi inayo tekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • By laws
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Taarifa
    • Fomu
    • Miongozo
    • Strategic Plan
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za shughuli za ofisi
    • Speech
    • Albamu
    • Makala

WAJASILIAMLI UNDENI VIKUNDI MKOPESHEKE

Posted on: November 30th, 2021

Mkuu wa idara ya maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto Bi, Marietha Mlozi amewataka Wajasiriamali wanaofanya shughuli zao katika stendi ya ya mabasi ya Mizengo Pinda kuunda vikundi kazi ili kuweza kukutana na fursa zinazo weza kujitokeza mbele ikiwa ni pamoja kutambulika na kupata elimu mbalimbali.

Akizungumza katika mkutano wake uliofanyika katika eneo la Stendi kuu ya Mabasi Mizengo Pinda katika Halmashauri ya Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi  Amewataka wajasiriamali hao kujikita katika kujikwamua kiuchumi na kuwa na tabia ya kujiwekeza.

Aidha Bi, Jeni Lwakabamba ambaye ni mratibu uwezeshaji Wananchi kiuchumi amesema Halmashauri Manispaa ya Mpanda inatalajia kutoa Mikopo zaidi ya Millioni 250 ikiwa ni bajeti ya asilimia kumi ya Mapato ya ndani mbali na mfuko wa Marejesho ya mikopo ya vikundi.

Matangazo

  • MWALIKO WA KOTESHENI YA ZABUNI YA KUENDESHA MGAHAWA April 21, 2022
  • ORODHA YA WALICHAGULIWA KUFANYA KAZI YA ANUANI ZA MAKAZI March 28, 2022
  • FOMU YA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA KWA SHULE ZA MANISPAA YA MPANDA December 01, 2021
  • TANGAZO LA ORODHA YA WATAKAO HAKIKIWA MATUMIZI YA SIMU March 21, 2022
  • Tazama zote..

Habari za Hivi Punde

  • CHANJO YA MATONE YA POLIO KUTOLEWA NYUMBA KWA NYUMBA

    May 18, 2022
  • CHANJO YA MATONE YA POLIO KUTOLEWA NYUMBA KWA NYUMBA

    May 18, 2022
  • WAJASILIAMLI UNDENI VIKUNDI MKOPESHEKE

    November 30, 2021
  • WAJASILIAMLI UNDENI VIKUNDI MKOPESHEKE

    November 30, 2021
  • Tazama zote..

Video

Uzinduzi wa Tovuti mpya kitaifa
Video zaidi.

Kurasa za Haraka

  • Revenue Collection Dashboard for Katavi Region

Tovuti Zinazohusiana

  • TAMISEMI
  • Utumishi wa Umma
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

professional Writing Service

Ramani

Wasiliana Nasi

    Ilembo, Kasimba area

    Anuani ya Posta: 216, Mpanda

    Simu ya Mezani: +255-2529529

    Simu: +255-2529529

    Barua Pepe: md@mpandamc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa Mpanda. Haki Zote Zimehifadhiwa.