TAARIFA KWA UMMA
MKUTANO MAALUM WA BARAZA LA MADIWANI
MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA MANISPAA YA MPANDA ANAWATANGAZIA WANANCHI WOTE WA MPANDA KUWA, KUTAKUWA NA MKUTANO WA BARAZA MAALUM LA MADIWANI TAREHE 25 na 26/10/2018 KATIKA UKUMBI WA MIKUTANO WA MANISPAA KUANZIA SAA 4:00 ASUBUHI
WOTE MNAKARIBISHWA.
ATAKAYESIKIA/SOMA TANGAZO HILI AMTAARIFU NA MWENZAKE.
KUMBUKA: TAARIFA ZA MIKUTANO YOTE ZINAPATIKANA KWENYE TOVUTI YETU www.mpandamc.go.tz
Imetolewa na:
Donald Pius
Afisa habari
Halmashauri ya manispaa ya Mpanda
Ilembo, Kasimba area
Anuani ya Posta: 216, Mpanda
Simu ya Mezani: +255-2529529
Simu: +255-2529529
Barua Pepe: md@mpandamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa Mpanda. Haki Zote Zimehifadhiwa.