• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Mpanda Municipal Council
Mpanda Municipal Council

Jamahuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa Mpanda

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Mission and Vission
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Afya
      • Ujenzi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii
        • Tasaf
      • Fedha na Biashara
      • Usafishaji na Mazingira
      • Mipango, Takwimu, Uchumi na Tathmini
      • Land and Town Planning
      • Ufugaji na Uvuvi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ufugaji Nyuki
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Habari na Mahusiano
    • Muundo wa Taasisi
    • Kata
    • Streets
  • Fursa za uwezekezaji
    • Vituo vya Utalii
    • Sekta ya Madini
    • Sekta ya Viwanda
    • Sekta ya Uvuvi
    • Sekta ya Kilimo
    • Sekta ya ufugaji
  • Huduma zetu
    • Elimu
      • Rungwa Sekondari
      • Mpanda Girls Sec School
    • Heath
    • Usafi na Mazingira
    • Maji
    • Ardhi na Maliasili
    • Ujenzi na Miundombinu
    • Woman Empowerment
  • Madiwani
    • List of Counciolors
    • Standing Commitees
    • Time table
      • Vikao vya Madiwani
    • Makablasha/Taarifa za Baraza
  • Miradi
    • Miradi inayo tekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • By laws
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Taarifa
    • Fomu
    • Miongozo
    • Strategic Plan
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za shughuli za ofisi
    • Speech
    • Albamu
      • Meya Mpya
    • Makala

Kitengo cha TEHAMA

UTANGULIZI

Halmashauri ya Manispaa  Mpanda ni miongoni mwa Halmashauri zinazotekeleza muundo mpya wa Halmashauri za Manispaa ambao uliidhinishwa mnamo mwaka 2011 na Waziri Mkuu Mh Mizengo Pinda. Kwa sasa kitengo kina watumishi watatu ambao ni Afisa TEHAMA wawili na Fundi Sanifu wa Mawasiliano mmoja. Toka kuanzishwa kwake hadi sasa kitengo hiki kimejitahidi kufanya kazi kwa ufanisi mkubwa ili kuweza kufanikisha lengo namba 9 la Serikali ambalo ni kuimarisha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano. Jukumu kubwa la kitengo hiki ni Kusimamia mifumo yote ya manispaa. 

- Lengo la kuwepo kwa Kitengo hiki ni :- Kutoa utaalamu na huduma kuhusu matumizi ya TEHAMA katika Halmashauri ya Manispaa ya Mpanda.

Majukumu ya Kitengo 

  • Kutekeleza sera ya Kitaifa ya TEHAMA na Serikali Mtandao.
  • Kusimamia maendeleo ya mipango ya ndani ya TEHAMA, sera na utekelezaji wake.
  • Kubuni na kutunza programu na kuhifadhi data kwa misingi ya mtandao.
  • Kufuatilia matumizi ya vifaa vya TEHAMA na programu katika Halmashsuri.
  • Kutoa pembejeo katika tathmini ya mahitaji ya mafunzo kuhusu TEHAMA.
  • Kutengeneza na kudumisha tovuti ya Halmashauri.
  • Kuhakikisha manispaa inasajili na kutumia barua pepe za serikali (Government Mailing System) kwa ajili ya kutuma na kupokea taarifa za kiserikali.
  • Kusimamia Mifumo yote ya Halmashauri baadhi yake ikiwa ni HCMIS ,MUSE, PREM, SIS, IFTMIS, TAUSI, ESS, GMS, NEST, GOTHOMIS, 
  • Kusimamia Mashine za kieletroniki zinazokusanya Mapato(Pos Machine)

Kusimamia Matengenezo yote ya vifaa vya Tehama kwa kuhakikisha vifaa vyote vipo katika hali nzuri

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA MKATABA December 29, 2025
  • TANGAZO KWA WAFANYABIASHARA WOTE December 31, 2025
  • Tazama zote..

Habari za Hivi Punde

  • WAZAZI NA WALEZI WAHIMIZWA KUWAPELEKA WANAFUNZI SHULENI KWA WAKATI

    January 13, 2026
  • WAKULIMA MANISPAA YA MPANDA WAGAWIWA MICHE YA KOROSHO BURE

    January 09, 2026
  • KITUO CHA AFYA NSEMULWA CHAANZA KUTOA HUDUMA YA UPASUAJI.

    January 05, 2026
  • WATUMISHI MANISPAA YA MPANDA WAMUAGA NA KUMKARIBISHA MKUU WA IDARA YA UTUMISHI

    June 08, 2025
  • Tazama zote..

Video

Uzinduzi wa Tovuti mpya kitaifa
Video zaidi.

Kurasa za Haraka

  • Revenue Collection Dashboard for Katavi Region

Tovuti Zinazohusiana

  • TAMISEMI
  • Utumishi wa Umma
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

professional Writing Service

Ramani

Wasiliana Nasi

    Ilembo, Kasimba area

    Anuani ya Posta: 216, Mpanda

    Simu ya Mezani: +255-2529529

    Simu: +255-2529529

    Barua Pepe: md@mpandamc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa Mpanda. Haki Zote Zimehifadhiwa.