• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Mpanda Municipal Council
Mpanda Municipal Council

Jamahuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa Mpanda

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Mission and Vission
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Afya
      • Ujenzi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii
        • Tasaf
      • Fedha na Biashara
      • Usafishaji na Mazingira
      • Mipango, Takwimu, Uchumi na Tathmini
      • Land and Town Planning
      • Ufugaji na Uvuvi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ufugaji Nyuki
      • Kitengo cha TEHAMA na Mahusiano ya Umma
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Uchaguzi
    • Muundo wa Taasisi
    • Kata
    • Streets
  • Fursa za uwezekezaji
    • Vituo vya Utalii
    • Sekta ya Madini
    • Sekta ya Viwanda
    • Sekta ya Uvuvi
    • Sekta ya Kilimo
    • Sekta ya ufugaji
  • Huduma zetu
    • Elimu
      • Rungwa Sekondari
      • Mpanda Girls Sec School
    • Heath
    • Usafi na Mazingira
    • Maji
    • Ardhi na Maliasili
    • Ujenzi na Miundombinu
    • Woman Empowerment
  • Madiwani
    • List of Counciolors
    • Standing Commitees
    • Time table
      • Vikao vya Madiwani
    • Makablasha/Taarifa za Baraza
  • Miradi
    • Miradi inayo tekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • By laws
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Taarifa
    • Fomu
    • Miongozo
    • Strategic Plan
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za shughuli za ofisi
    • Speech
    • Albamu
    • Makala

Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani

KITENGO CHA UKAGUZI WA NDANI

UTANGULIZI

Kitengo cha ukaguzi wa ndani ni kitengo kimojawapo kati ya vitengo vitano vilivyopo chini ya Ofisi ya Mkurugenzi. Kilianzishwa mwaka 2008 kutokana na vifungu namba 28 na 29(1) vya sheria ya fedha za umma ya mwaka 2001 na marekebisho yake ya 2004.

Kitengo kinawajibika kutoa taarifa kwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Mpanda na kutoa taarifa ya utendaji kazi zake kwa kamati ya ukaguzi ya Manispaa ya Mpanda.

DHIMA 

Dhima ya kitengo cha Ukaguzi wa Ndani cha Halmashauri ya Manispaa ya Mpanda ni kutoa ushauri uliohuru kwa jambo lengwa na huduma za kitaalamu zitakazoleta tija na kuboresha utendaji kazi wa Halmashauri ili iweze kufikia malengo yake. Kitengo kinasaidia pia kuhakikisha malengo yanatimia kwa kuandaa mfumo yakinifu wa upembuzi na kuboresha umakini wa vihatarishi, udhibiti na utawala bora.

 

MAJUKUMU YA KITENGO

  • Kuboresha na kuthamini mpango wa vihatarishi ili kuhakikisha malengo ya taasisi yanafikiwa na mifumo ya udhibiti inakuwa thabiti kuhakikisha malengo hayo yanafikiwa.
  • Kutathmini mwendano na utegemezi wa taarifa za mifumo ya fedha na mifumo ya udhibiti.
  • Kuhakikisha mali za umma zinatumika kwa kuzingatia uchumi, ufanisi na ubora.
  • Kuhakisha uzingatiaji na ufuatwaji wa sera, sheria, taratibu na kanuni zilizopo.
  • Kutoa mapendekezo ya kuboresha taratibu na mifumo ili kuzuia upotevu, ubadhilifu na wizi.
  • Kushauri juu ya mifumo ya udhibiti inayofaa na maswala mengine ya kiuhasibu na kiutendaji.
  • Kutengeneza mpango wa ukaguzi wa mwaka kwa kushauriana na Kamati ya ukaguzi na menejimenti.
  • Kutekeleza mpango wa ukaguzi wa mwaka pamoja na  ukaguzi maalum wa miradi na masuala mengine kama zitakazoombwa na kamati ya ukaguzi na Mkurugenzi.
  • Kuandaa taarifa za robo kwa wakati na kuziwasilisha kwa Mkurugenzi, Kamati ya Ukaguzi , Katibu Tawala na  Mkaguzi Mkuu wa Ndani wa Serikali.

                                               

Matangazo

  • MWALIKO WA KOTESHENI YA ZABUNI YA KUENDESHA MGAHAWA April 21, 2022
  • ORODHA YA WALICHAGULIWA KUFANYA KAZI YA ANUANI ZA MAKAZI March 28, 2022
  • KUITWA KWENYE MAFUNZO YA SENSA July 28, 2022
  • FOMU YA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA KWA SHULE ZA MANISPAA YA MPANDA December 01, 2021
  • Tazama zote..

Habari za Hivi Punde

  • MANISPAA YA MPANDA YAKABIDHI MADARASA 51

    December 28, 2022
  • WASINDIKAJI WAWEZESHWA MIUNDOMBINU NA MASHINE

    November 16, 2022
  • RC KATAVI ARIDHISHWA NA UJENZI WA MADARASA MPANDA

    November 09, 2022
  • SENDIGA AKOSHWA NA HATUA ZA UJENZI WA MADARASA MANISPAA YA MPANDA

    October 25, 2022
  • Tazama zote..

Video

Uzinduzi wa Tovuti mpya kitaifa
Video zaidi.

Kurasa za Haraka

  • Revenue Collection Dashboard for Katavi Region

Tovuti Zinazohusiana

  • TAMISEMI
  • Utumishi wa Umma
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

professional Writing Service

Ramani

Wasiliana Nasi

    Ilembo, Kasimba area

    Anuani ya Posta: 216, Mpanda

    Simu ya Mezani: +255-2529529

    Simu: +255-2529529

    Barua Pepe: md@mpandamc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa Mpanda. Haki Zote Zimehifadhiwa.