DIRA
Kuwa na uwezo wa kutoa huduma bora za kijamii na kiuchumi kwa ajili ya maendeleo endelevu
DHAMIRA
Halmashauri ya Manispaa ya Mpanda imedhamiria kuendelea na jukumu la msingi la Kuratibu na kudumisha amani na utulivu katika eneo lote la Halmashauri ya Manispaa na kuendelea kutoa huduma bora za kiuchumi na kijamii ikishirikishiana na wadau mbalimbali kwa kutumia kanuni za utawala bora ili kuondoa umasikini na kuleta maendeleo endelevu.
Ilembo, Kasimba area
Anuani ya Posta: 216, Mpanda
Simu ya Mezani: +255-2529529
Simu: +255-2529529
Barua Pepe: md@mpandamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa Mpanda. Haki Zote Zimehifadhiwa.