• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Mpanda Municipal Council
Mpanda Municipal Council

Jamahuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa Mpanda

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Mission and Vission
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Afya
      • Ujenzi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii
        • Tasaf
      • Fedha na Biashara
      • Usafishaji na Mazingira
      • Mipango, Takwimu, Uchumi na Tathmini
      • Land and Town Planning
      • Ufugaji na Uvuvi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ufugaji Nyuki
      • Kitengo cha TEHAMA na Mahusiano ya Umma
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Uchaguzi
    • Muundo wa Taasisi
    • Kata
    • Streets
  • Fursa za uwezekezaji
    • Vituo vya Utalii
    • Sekta ya Madini
    • Sekta ya Viwanda
    • Sekta ya Uvuvi
    • Sekta ya Kilimo
    • Sekta ya ufugaji
  • Huduma zetu
    • Elimu
      • Rungwa Sekondari
      • Mpanda Girls Sec School
    • Heath
    • Usafi na Mazingira
    • Maji
    • Ardhi na Maliasili
    • Ujenzi na Miundombinu
    • Woman Empowerment
  • Madiwani
    • List of Counciolors
    • Standing Commitees
    • Time table
      • Vikao vya Madiwani
    • Makablasha/Taarifa za Baraza
  • Miradi
    • Miradi inayo tekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • By laws
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Taarifa
    • Fomu
    • Miongozo
    • Strategic Plan
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za shughuli za ofisi
    • Speech
    • Albamu
    • Makala

Elimu Sekondari


 

OFISI YA RAIS

TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA

HALMASHAURI YA MANISPAA YA MPANDA

IDARA YA ELIMU SEKONDARI

UTANGULIZI: 

Halmashauri ya  Manispaa ya Mpanda ni miongoni mwa Halmashauri tano za Mkoa wa Katavi ambayo ilianzishwa tarehe 01 Julai, 2007 kwa mujibu wa tangazo la serikali na. 136 la tarehe 29.09.2006. Inapatikana upande wa Kusini Mashariki mwa Tanzania. Halmashauri ina tarafa mbili ambazo ni Misunkumilo na Kashaulili na  kata 15 ambazo ni Ilembo, Kashaulili, Kawajense, Misunkumilo, Nsemulwa, Makanyagio, Mpanda Hotel, Kakese, Shanwe, Uwanja wa ndege, Kazima, Mwamkulu, Kasokola, Magamba na Majengo. Halmashauri ina mitaa 15 vijiji  14. Halmashauri ina ukubwa wa kilomita za mraba 527.

MAJUKUMU YA IDARA

Majukumu ya Idara ya Elimu Sekondari ni kama yafuatayo:-

Kutafsiri na kusimamia nyaraka na miongozo mbalimbali inayotoka serikalini

Kusimamia maadili na taaluma ya ualimu

Kusimamia ujenzi wa miundombinu katika shule zote za sekondari

Kusimamia nidhamu ya watumishi

Kusimamia haki na maslahi ya watumishi

Kusimamia shughuli za michezo katika shule zote za sekondari

Kushiriki shughuli mbalimbali za Kihalmashauri, mkoa na kitaifa

Kutoa taarifa mbalimbali za kielimu zinapohitajika katika ngazi mbalimbali za kiserikali.

Kushirikiana na wadau mbalimbali wa elimu kuinua taaluma.

SHULE ZA SEKONDARI

Halmashauri ya Manispaa ya Mpanda ina jumla ya shule za sekondari 14 ambapo shule 10 ni za serikali na 04 ni za taasisi binafsi. Idadi ya wanafunzi kwa mwaka 2018 ni 7737 ambapo wavulana ni 3443 na wasichana ni 4314.

  • Shule  za sekondari zimejengwa kwenye kata zote isipokuwa kata ya Kawajense na Kakese, Halmashauri imeanza kujenga shule katika kata ya Kakese kuhakikisha kuwa kila kata inakuwa na shule ya sekondari. Mradi huu uliibuliwa na wananchi madarasa mawili yako katika hatua ya ukamilishaji na ujenzi wa matundu ya vyoo unaendelea

IKAMA YA WALIMU NA IDADI YA WANAFUNZI

Ikama ya walimu inaonesha kupanda mwaka hadi mwaka japo walimu wengi ni wa masomo ya sanaa, hii ni sambamba na idadi ya wanafunzi. Jedwali Na.01 linaonesha ikama ya walimu kwa masomo na jedwali Na. 02 linaonesha idadi ya wanafunzi kwa shule zote za Halmashauri.

JEDWALI NO. 1

IDARA YA ELIMU SEKONDARI


IKAMA YA WALIMU  KWA MWAKA 2018


SHULE ZA SERIKALI


NA

JINA LA SHULE

SAYANSI

SANAA

WENGINEO

JUMLA KUU





ME
KE
JML
ME
KE
JML
ME
KE
JML
ME
KE
JML


1

KASIMBA

6

2

8

9

10

19

0

0

0

15

12

27



2

SHANWE

5

1

6

13

8

21

0

0

0

18

9

27



3

KASOKOLA

2

0

2

12

2

14

1

0

1

15

2

17



4

MAGAMBA

4

0

4

7

5

12

0

0

0

11

5

16



5

MWANGAZA

4

2

6

14

10

24

0

0

0

18

12

30



6

NSEMULWA

2

2

4

10

6

16

0

0

0

12

8

20



7

MPANDA GIRLS'

13

1

14

18

7

25

0

0

0

31

8

39



8

MISUNKUMILO

3

1

4

13

7

20

0

0

0

16

8

24



9

KASHAULILI

4

1

5

15

9

24

0

0

0

19

10

29



10

RUNGWA

6

1

7

22

11

33

0

0

0

28

12

40



JUMLA

49

11

60

133

75

#

1

0

1

183

86

269



 

Jedwali Na.02


TAKWIMU ZA WANAFUNZI KWA MWAKA 2018


A: SHULE ZA SERIKALI


NA

JINA LA SHULE

IDADI


WAV
WAS
JUMLA

1

KASIMBA

384

416

800


2

SHANWE

387

441

828


3

KASOKOLA

203

192

395


4

MAGAMBA

234

185

419


5

MWANGAZA

511

444

955


6

NSEMULWA

246

233

479


7

MPANDA GIRLS'

0

944

944


8

MISUNKUMILO

242

204

446


9

KASHAULILI

386

365

751


10

RUNGWA

552

460

1012


JUMLA NDOGO

3145

3884

7029


B: SHULE ZISIZO ZA SERIKALI


1

ISTIQAMA

36

34

70


2

MILALA

89

67

156


3

SUN

58

67

125


4

ST.MARY'S MPANDA

115

262

377


JUMLA NDOGO

298

430

728


JUMLA KUU

3443

4314

7757






















 MAPOKEZI YA WALIMU WAPYA WA SEKONDARI WALIOPANGWA NA KURIPOTI  

Halmashauri imekuwa ikipokea walimu kila mwaka tangu idara ya elimu sekondari ilipogatuliwa kutoka kwa Katibu Mkuu kuja ngazi ya Halmashauri. Jedwali Na.03 linaonesha walimu wapya waliopangwa Halmashauri kuanzia mwaka 2014 hadi mwaka 2017.

 

 

Jedwali Na. 03

WALIMU WAPYA  MWAKA 2014 - 2017

MWAKA
AJIRA

STASHAHADA

SHAHADA

JML KUU
 
% YA URIPOTI
 
 
PANGWA
RIPOTI
PANGWA

RIPOTI

 
 

ME

KE

JM

 

ME

KE

JML

2014
WALIMU

23

22

1

23

37

21

8

29

52

86.6

2015
WALIMU

10

9

1

10

44

28

14

41

51

94.4

2017
WALIMU

11

10

1

11

7

4

0

4

15

83.3

2017
FUNDI SANIFU

1

1

0

1

0

0

0

0

1

100

JUMLA
 

45

42

3

45

88

53

22

74

119


 

 

MIUNDOMBINU NA SAMANI

Halmashauri imeendelea kuboresha miundombinu katika shule za sekondari kuhakikisha kuwa wanafunzi wanasoma katika mazingira rafiki.Ujenzi wa miundombinu kwa fedha kutoka serikali kuu umesimamiwa na Halmashauri kuhakikisha kuwa miundombinu inayojengwa inakwenda sambamba na thamani ya fedha, kukamilika kwa wakati na uimara wa majengo pamoja na samani. Zoezi hili ni endelevu kwasababu ya ongezeko la wanafunzi wanaodahiliwa kujiunga na elimu ya sekondari ndani ya Manispaa.

Jedwali Na. 04 linaonesha hali ya miundombinu shule zote za sekondari.

TAARIFA YA TAALUMA SHULE ZA SEKONDARI

Hali ya taaluma inaonesha kupanda mwaka hadi mwaka kwasababu ya ongezeko la walimu hasa wa masomo ya Sayansi na Hisabati japo upungufu bado upo kwa masomo hayo.  Majedwali Na.05, 06 na 07 yanaonesha hali ya ufaulu wa wanafunzi kwenye mithani ya Taifa kwa mwaka 2017

 

 

  •  

 

 




 

 

 

 

 

 

 

 

JEDWALI NA.5  - HALI YA UFAULU MITHANI WA UPIMAJI KIDATO CHA II 2017

SN
SHULE

DARAJA I

DARAJA II

DARAJA III

DARAJA IV

WANAOKARIRI

ASILIMIA YA UFAULU I-IV
 
 
B
G
TT
B
G
TT
B
G
TT
B
G
TT
B
G
TT
 

1

MILALA

1

2

3

3

5

8

2

2

4

8

7

15

0

0

0

100

2

SUN

12

6

18

2

3

5

1

0

1

0

0

0

0

0

0

100

3

KASHAULILI

6

15

21

5

16

21

15

11

26

66

54

120

5

3

8

95.92

4

ST.MARY'S

5

7

12

12

4

16

22

6

28

31

7

38

4

1

5

94.95

5

ISTIQAMA

0

0

0

2

1

3

2

0

2

8

0

8

1

0

1

92.86

6

MISUNKUMILO

0

11

11

3

8

11

4

10

14

37

19

56

5

3

8

92.00

7

MWANGAZA

5

10

15

6

17

23

9

17

26

76

74

150

11

9

20

91.45

8

RUNGWA

5

24

29

8

12

20

15

13

28

66

40

106

18

3

21

89.71

9

NSEMULWA

5

0

5

7

1

8

37

42

79

42

37

79

10

4

14

88.33

10

KASOKOLA

0

3

3

0

7

7

2

5

7

16

36

52

8

5

13

84.15

11

KASIMBA

0

14

14

2

3

5

5

13

18

77

50

127

23

11

34

82.83

12

SHANWE

1

10

11

5

5

10

13

12

25

75

53

128

10

30

40

77.68

13

MAGAMBA

0

0

0

1

0

1

9

3

12

23

27

50

18

11

29

68.48
 
JUMLA

40

102

142

56

82

138

136

134

270

525

404

929

113

80

193

88.1

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 
 
 
 

 

 

 

 

JEDWALI NA 06. MATOKEO YA MTIHANI WA TAIFA WA KIDATO CHA NNE - 2017
NA
JINA LA SHULE

WALIOSAJILIWA

WALIOFANYA

WASIOFANYA

UFAULU

WILAYA

MKOA

TAIFA

 G.P.A

I

II

III

IV

I - IV

%PASS

0

 

WV

WS

JML

WV

WS

JML

WV

WS

JML

WV

WS

JML

WV

WS

JML

WV

WS

JML

WV

WS

JML

WV

WS

JML

WV

WS

JML

 

1

ST.MARY'S

25

44

69

25

44

69

0

0

0

1

0

1

2

5

7

10

16

26

12

23

35

25

44

69

100

0

0

0

1

1/18
538/3039

3.6018

2

SUN

11

14

25

11

14

25

0

0

0

0

0

0

3

1

4

3

4

7

5

9

14

11

14

25

100

0

0

0

2

3/18
231/1738

3.6311

3

KASOKOLA

11

12

23

11

10

21

0

2

2

0

0

0

3

1

4

3

1

4

3

7

10

9

9

18

85.7

3

0

3

3

6/18

376/1738

3.8061

4

MISUNKUMILO

28

20

48

28

18

46

0

2

2

1

0

1

5

0

5

6

1

7

13

12

25

25

13

38

82.6

3

5

8

4

5/18

1464/3039

3.9071

5

MWANGAZA

90

78

168

90

75

165

0

3

3

0

1

1

15

2

17

20

14

34

37

50

87

72

67

139

84.2

18

8

26

5

6/18

907/3039

3.9093

6

MILALA

22

15

37

21

14

35

1

1

2

0

0

0

1

1

2

5

6

11

12

5

17

18

12

30

85.7

3

2

5

6

10/18

557/1738

3.9389

7

KASHAULILI

76

62

138

74

61

135

2

3

5

1

0

1

6

0

6

12

9

21

34

41

75

53

50

103

77.40

20

11

30

7

9/18

1431/3039

4.0811

8

RUNGWA

79

61

140

79

58

137

0

3

3

0

0

0

11

2

13

6

7

13

35

48

83

52

57

109

79.50

9

19

28

8

10/18

1464/3039

4.0885

9

KASIMBA

39

30

69

39

29

68

0

1

1

0

0

0

5

2

7

0

2

2

25

19

44

30

23

53

77.90

9

6

15

9

12/18

1730/3039

4.1471

10

MAGAMBA

17

7

24

17

4

21

0

3

3

0

0

0

0

0

0

3

0

3

11

2

13

14

2

16

76.1

3

2

5

10

15/18

1203/1738

4.2348

11

SHANWE

51

28

79

51

28

79

0

0

0

0

0

0

6

1

7

4

2

6

19

15

34

29

18

47

59.40

20

10

32

11

15/18

2291/3039

4.2825

12

ISTIQAMA

15

19

34

15

19

34

0

0

0

0

0

0

0

1

1

3

1

4

9

11

19

12

13

25

70.5

3

7

10

12

17/18

1327/1738

4.2922

13

NSEMULWA

37

22

59

37

22

59

0

0

0

0

0

0

1

1

2

7

0

7

11

13

24

19

14

33

55.90

16

8

24

13

17/18

2610/3039

4.3806

COUNCIL TOTAL

501

412

913

498

396

894

3

18

21

3

1

4

58

17

75

82

63

145

226

255

480

369

336

704

79.12

107

78

186

 

 

 

4.0034

JEDWALI NA.7           MATOKEO YA KIDATO CHA VI 2015-2017

HALMASHAURI

VIWANGO VYA UFAULU

2015

%

VIWANGO VYA UFAULU

2016

%

VIWANGO VYA UFAULU

2016

%

DIV I
DIV II
DIV III
DIV .IV
DIV 0

DIV I
DIV II
DIV III
DIV IV
DIV 0

DIV.I
DIV.II
DIV. III
DIV.IV
DIV.0

MPANDA M
11
37
75
7
0
100
19
133
149
9
3
99.04
21
158
111
11
3
99.01




Matangazo

  • MWALIKO WA KOTESHENI YA ZABUNI YA KUENDESHA MGAHAWA April 21, 2022
  • ORODHA YA WALICHAGULIWA KUFANYA KAZI YA ANUANI ZA MAKAZI March 28, 2022
  • KUITWA KWENYE MAFUNZO YA SENSA July 28, 2022
  • FOMU YA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA KWA SHULE ZA MANISPAA YA MPANDA December 01, 2021
  • Tazama zote..

Habari za Hivi Punde

  • MANISPAA YA MPANDA YAKABIDHI MADARASA 51

    December 28, 2022
  • WASINDIKAJI WAWEZESHWA MIUNDOMBINU NA MASHINE

    November 16, 2022
  • RC KATAVI ARIDHISHWA NA UJENZI WA MADARASA MPANDA

    November 09, 2022
  • SENDIGA AKOSHWA NA HATUA ZA UJENZI WA MADARASA MANISPAA YA MPANDA

    October 25, 2022
  • Tazama zote..

Video

Uzinduzi wa Tovuti mpya kitaifa
Video zaidi.

Kurasa za Haraka

  • Revenue Collection Dashboard for Katavi Region

Tovuti Zinazohusiana

  • TAMISEMI
  • Utumishi wa Umma
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

professional Writing Service

Ramani

Wasiliana Nasi

    Ilembo, Kasimba area

    Anuani ya Posta: 216, Mpanda

    Simu ya Mezani: +255-2529529

    Simu: +255-2529529

    Barua Pepe: md@mpandamc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa Mpanda. Haki Zote Zimehifadhiwa.