Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Manispaa ya Mpanda limekaa na kujadili mapendekezo ya Bajeti kwa mwaka fedha 2018/2019. Aidha Halmashauri imekisa kukusanya jumla ya Tsh 26,870,508,500 kati yake Tsh 2,422,436,000.00 ni kutoka vyanzo vyake vya mapato ya ndani, Tsh 24,448,072,500 ni kutoka ruzuku ya Serikali kuu na wafadhili
Ilembo, Kasimba area
Anuani ya Posta: 216, Mpanda
Simu ya Mezani: +255-2529529
Simu: +255-2529529
Barua Pepe: md@mpandamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa Mpanda. Haki Zote Zimehifadhiwa.