Jeshi la Polisi Mkoani Katavi Wilaya ya Mpanda Limetoa Elimu juu ya Matumizi ya Alama za Barabani.
Kupitia kitengo cha Usalama Barabarani, Mkuu wa kitengo hicho Insp Lazaro Masembo amewatahadharisha Madiwani na watumishi wa Halmashauri ya Manispaa ya Mpanda kuwa makini wanapokuwa barabarani hasa wanapokuwa wanaendesha vyombo vya moto.
Aidha Mkaguzi wa vyombo vya moto Insp Efeso Sukunala ametoa ufafanuzi juu ya matumizi sahihi ya alama za barabarani na kusisitiza umakini wakati wa matumizi ya alama hizo.
Ilembo, Kasimba area
Anuani ya Posta: 216, Mpanda
Simu ya Mezani: +255-2529529
Simu: +255-2529529
Barua Pepe: md@mpandamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa Mpanda. Haki Zote Zimehifadhiwa.