• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Mpanda Municipal Council
Mpanda Municipal Council

Jamahuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa Mpanda

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Mission and Vission
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Afya
      • Ujenzi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii
        • Tasaf
      • Fedha na Biashara
      • Usafishaji na Mazingira
      • Mipango, Takwimu, Uchumi na Tathmini
      • Land and Town Planning
      • Ufugaji na Uvuvi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ufugaji Nyuki
      • Kitengo cha TEHAMA na Mahusiano ya Umma
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Uchaguzi
    • Muundo wa Taasisi
    • Kata
    • Streets
  • Fursa za uwezekezaji
    • Vituo vya Utalii
    • Sekta ya Madini
    • Sekta ya Viwanda
    • Sekta ya Uvuvi
    • Sekta ya Kilimo
    • Sekta ya ufugaji
  • Huduma zetu
    • Elimu
      • Rungwa Sekondari
      • Mpanda Girls Sec School
    • Heath
    • Usafi na Mazingira
    • Maji
    • Ardhi na Maliasili
    • Ujenzi na Miundombinu
    • Woman Empowerment
  • Madiwani
    • List of Counciolors
    • Standing Commitees
    • Time table
      • Vikao vya Madiwani
    • Makablasha/Taarifa za Baraza
  • Miradi
    • Miradi inayo tekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • By laws
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Taarifa
    • Fomu
    • Miongozo
    • Strategic Plan
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za shughuli za ofisi
    • Speech
    • Albamu
    • Makala

KASI, UBORA, NA MATUMIZI YA FEDHA ZA MIRADI TA BOOST YAMFURAHISHA RC RUKWA

Posted on: June 19th, 2023

KASI, UBORA, NA MATUMIZI YA FEDHA MIRADI YA BOOST YAMFURAHISHA RC RUKWA

Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Katavi Makongoro Nyerere amesema ameridhishwa na hatua iliyofikiwa ya mradi wa ujenzi wa shule mpya ya msingi Nyerere unaojengwa kwa fedha za BOOST kwa thamani ya shilingi milioni 561 na laki moja.

RC Nyerere ameyasema hayo leo wakati wa ziara yake ya kutembelea na kukagua miradi ya shule zinazojengwa kwa fedha za BOOST ndani ya Halmashauri ya Manispaa ya Mpanda na Halmashauri ya wilaya ya Nsimbo ambapo licha ya kuridhishwa na hatua ya ujenzi wa mradi wa shule mpya ya msingi Nyerere pia amesema tayari hatua iliyofikiwa thamani ya fedha inaonekana huku akitaka usimamizi zaidi ili mradi huo ukamilike kwa wakati.

Awali akiwasilisha taarifa ya utekelezaji wa mradi huo, Mwalimu mkuu Shule ya msingi Nyerere, Zuhura Kapama amesema shule hiyo mpya itakuwa na Vyumba 16 vya madarasa (Vyumba 14 vya elimu msingi na viwili vya elimu ya awali), matundu 26 ya vyoo na jengo la utawala.

Mwalimu Kapama amesema kumamilika kwa shule hiyo kutapunguza changamoto ya msongamano wa wanafunzi wa shule ya msingi mama (Nyerere), kutoka wanafunzi 553 kwa darasa mpaka wanafunzi 128 kwa madarasa.

Amesema hadi sasa shule ya msingi Nyerere inawanafunzi 4424 wa shule ya chekechea hadi darasa la Saba.

Kwa upande wao Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Manispaa ya Mpanda Sophia Kumbuli na mkuu wa wilaya ya Mpanda Jamila Yusuf wamemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kutoa shilingi bilioni 1.9 ambazo zitakwenda kukamilisha vyumba vya madarasa 61 ndani ya Manispaa hiyo.

Mradi mwingine ambao RC ameutembelea ni ujenzi wa shule mpya ya msingi Mkapa ambayo inajengwa kwa thamani ya shilingi milioni 561 na hadi sasa miradi yote imefikia hatua ya upauaji na kueezeka bati.

Kwa mujibu wa miongozo shule hizo zinazojengwa kwa fedha za BOOST Nchini zinatakiwa kufikia Juni 30 mwaka huu ziwe zimekamilika na kukabidhiwa.

Matangazo

  • THE PROVISION OF CONSTRUCTION SUPERVISION CONSULTANCY SERVICES FOR URBAN INFRASTRUCTURE DEVELOPMENT IN MPANDA MUNICIPALITY UNDER THE TACTIC PROJECT March 06, 2025
  • TANGAZO LA AJIRA ZA MKATABA December 27, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI January 03, 2024
  • KUITWA KAZINI January 06, 2024
  • Tazama zote..

Habari za Hivi Punde

  • SERIKALI YALETA BILIONI 29 MANISPAA YA MPANDA NDANI YA MIAKA 5

    June 19, 2025
  • SERIKALI YALETA BILIONI 29 MANISPAA YA MPANDA NDANI YA MIAKA 5

    June 19, 2025
  • MADIWANI WAAGA RASMI

    June 19, 2025
  • MADIWANI WAAGA RASMI

    June 19, 2025
  • Tazama zote..

Video

Uzinduzi wa Tovuti mpya kitaifa
Video zaidi.

Kurasa za Haraka

  • Revenue Collection Dashboard for Katavi Region

Tovuti Zinazohusiana

  • TAMISEMI
  • Utumishi wa Umma
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

professional Writing Service

Ramani

Wasiliana Nasi

    Ilembo, Kasimba area

    Anuani ya Posta: 216, Mpanda

    Simu ya Mezani: +255-2529529

    Simu: +255-2529529

    Barua Pepe: md@mpandamc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa Mpanda. Haki Zote Zimehifadhiwa.