• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Mpanda Municipal Council
Mpanda Municipal Council

Jamahuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa Mpanda

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Mission and Vission
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Afya
      • Ujenzi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii
        • Tasaf
      • Fedha na Biashara
      • Usafishaji na Mazingira
      • Mipango, Takwimu, Uchumi na Tathmini
      • Land and Town Planning
      • Ufugaji na Uvuvi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ufugaji Nyuki
      • Kitengo cha TEHAMA na Mahusiano ya Umma
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Uchaguzi
    • Muundo wa Taasisi
    • Kata
    • Streets
  • Fursa za uwezekezaji
    • Vituo vya Utalii
    • Sekta ya Madini
    • Sekta ya Viwanda
    • Sekta ya Uvuvi
    • Sekta ya Kilimo
    • Sekta ya ufugaji
  • Huduma zetu
    • Elimu
      • Rungwa Sekondari
      • Mpanda Girls Sec School
    • Heath
    • Usafi na Mazingira
    • Maji
    • Ardhi na Maliasili
    • Ujenzi na Miundombinu
    • Woman Empowerment
  • Madiwani
    • List of Counciolors
    • Standing Commitees
    • Time table
      • Vikao vya Madiwani
    • Makablasha/Taarifa za Baraza
  • Miradi
    • Miradi inayo tekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • By laws
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Taarifa
    • Fomu
    • Miongozo
    • Strategic Plan
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za shughuli za ofisi
    • Speech
    • Albamu
    • Makala

Manispaa ya Mpanda yaibuka mshindi maonesho ya nanenane 2018.

Posted on: August 8th, 2018

Halmashauri ya Manispaa ya Mpanda imeibuka mshaindi katika maonesho ya nanenane kwa mwaka 2018 kwa kushika nafasi ya pili ikitanguliwa na Halmashauri ya wilaya ya Iringa.

Maonesho hayo yanajumuisha Halmashauri zote za mikoa 7 zinazopatikana katika  nyanda za juu kusikini.

Katika maonesho hayo Manispaa ya Mpanda imepata kikombe na zawadi nyingine ikiwa ni ishara ya  kuwa mshindi wa pili kwa kutoa alimu ya kilimo, ufugaji, uvuvi na ujasiliamali. 

Aidha Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo Bw.Michael Francis Nzyungu wakati akikabidhiwa kikombe cha ushindi amesema kuwa   Halmashauri yake imepata ushindi huo kutokana na ushirikiano mkubwa uliooneshwa miongoni mwa watumishi, madiwani na Sekretarieti ya Mkoa wa Katavi. Aidha amesema kuwa  atahakikisha kuwa wanatekeleza jukumu lao la kuwapelekea wakulima wa vijijini teknolojia na pembejeo bora ili kuongeza tija katika shughuli za uzalishaji mali na kujenga uchumi wa Viwanda katika Halmashauri ya Manispaa ya Mpanda. 

Maonesho ya nananene kwa mwaka 2018katika nyanda za juu kusini yalifugwa rasmi na Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. Josephat Kandege ambapo alizitaka Mikoa kuendeleza shughuli za kilimo, ufugaji, uvuvi na ujasiliamali ili kuungana na Rais wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania Mhe. John Magufuli katika kutekeleza dhana ya viwanda. Aidha amezitaka taasisi zote zinazojihusisha na shughuli za kilimo, mifugo na uvuvi kuendelea kufanya tafiti, kuhamasisha kilimo chenye tija ikiendanda sambamba na matumizi sahihi ya pembejeo. Aidha maafisa ugani wameagizwa kuwatumikia wananchi kwa kutoa elimu ya kilimo, ufugaji na uvuvi ili wananchi wafanye kilimo chenye tija.

Matangazo

  • THE PROVISION OF CONSTRUCTION SUPERVISION CONSULTANCY SERVICES FOR URBAN INFRASTRUCTURE DEVELOPMENT IN MPANDA MUNICIPALITY UNDER THE TACTIC PROJECT March 06, 2025
  • TANGAZO LA AJIRA ZA MKATABA December 27, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI January 03, 2024
  • KUITWA KAZINI January 06, 2024
  • Tazama zote..

Habari za Hivi Punde

  • SERIKALI YALETA BILIONI 29 MANISPAA YA MPANDA NDANI YA MIAKA 5

    June 19, 2025
  • SERIKALI YALETA BILIONI 29 MANISPAA YA MPANDA NDANI YA MIAKA 5

    June 19, 2025
  • MADIWANI WAAGA RASMI

    June 19, 2025
  • MADIWANI WAAGA RASMI

    June 19, 2025
  • Tazama zote..

Video

Uzinduzi wa Tovuti mpya kitaifa
Video zaidi.

Kurasa za Haraka

  • Revenue Collection Dashboard for Katavi Region

Tovuti Zinazohusiana

  • TAMISEMI
  • Utumishi wa Umma
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

professional Writing Service

Ramani

Wasiliana Nasi

    Ilembo, Kasimba area

    Anuani ya Posta: 216, Mpanda

    Simu ya Mezani: +255-2529529

    Simu: +255-2529529

    Barua Pepe: md@mpandamc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa Mpanda. Haki Zote Zimehifadhiwa.