• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Mpanda Municipal Council
Mpanda Municipal Council

Jamahuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa Mpanda

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Mission and Vission
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Afya
      • Ujenzi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii
        • Tasaf
      • Fedha na Biashara
      • Usafishaji na Mazingira
      • Mipango, Takwimu, Uchumi na Tathmini
      • Land and Town Planning
      • Ufugaji na Uvuvi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ufugaji Nyuki
      • Kitengo cha TEHAMA na Mahusiano ya Umma
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Uchaguzi
    • Muundo wa Taasisi
    • Kata
    • Streets
  • Fursa za uwezekezaji
    • Vituo vya Utalii
    • Sekta ya Madini
    • Sekta ya Viwanda
    • Sekta ya Uvuvi
    • Sekta ya Kilimo
    • Sekta ya ufugaji
  • Huduma zetu
    • Elimu
      • Rungwa Sekondari
      • Mpanda Girls Sec School
    • Heath
    • Usafi na Mazingira
    • Maji
    • Ardhi na Maliasili
    • Ujenzi na Miundombinu
    • Woman Empowerment
  • Madiwani
    • List of Counciolors
    • Standing Commitees
    • Time table
      • Vikao vya Madiwani
    • Makablasha/Taarifa za Baraza
  • Miradi
    • Miradi inayo tekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • By laws
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Taarifa
    • Fomu
    • Miongozo
    • Strategic Plan
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za shughuli za ofisi
    • Speech
    • Albamu
    • Makala

MANISPAA YA MPANDA YAKUSANYA 52% KWA KIPINDI CHA MIEZI SITA

Posted on: February 2nd, 2023

MANISPAA YA MPANDA YAKUSANYA 52% KWA KIPINDI CHA MIEZI SITA

Halmashauri ya Manispaa ya Mpanda iliyopo mkoani Katavi imefikia 52% ya makusanyo katika kipindi cha miezi sita ya kwanza ya mwaka wa fedha wa 2022/23. Hayo yamebainishwa na Mstahiki Meya wa Halmashauri hiyo Mhe. Haidary H Sumry Februari 2, 2023 katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika ofisini kwake na kusema kuwa hali hiyo imechangiwa na usimamizi bora wa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri hiyo na watendaji wengine.

Halmashauri ya Manispaa ya Mpanda ilikadiria kukusanya kiasi cha shilingi bilioni 2.8 kwa mwaka wa fedha 2022/23 ambapo mpaka sasa imekusanya shilingi bilioni 1.6

Aidha Sumry amesema kuwa kulingana na hali hiyo, halmashauri ya Manispaa ya Mpanda imekadiria makusanyo ya shilingi bilioni 3.3 kwa kipindi cha mwaka wa fedha 2023/24 na ana imani malengo yanaweza kufikiwa.

"Kama mnavyoona ni ongezeko kubwa lakini lisiwashitue kwa sababu kwa kupitia mapato yetu ya nusu mwaka yametuonesha kuwa kuna direction (mwelekeo) kwamba kama kwa nusu mwaka tumekusanya billion 1.68 tafsiri yake kwa kipindi cha pili cha miezi 6 iliyobaki hatuna mashaka kwamba tunaweza tukafikia malengo ya kukusanya karibia bilioni 3.2 au 3"

Katika utekelezaji wa miradi ya maendeleo, Sumry amesema halmashauri imeendelea kutekeleza miradi mbalimbali kwa umakini mkubwa akiitolea mfano miradi wa Sequip ambapo Halmashauri ilipewa milioni 940 kwa ajili ya ujenzi wa shule mpya 2 Moja ikijengwa kata ya Ilembo na nyingine ikijengwa kata ya Kakese ya shule zote mbili zimekamilika na zimepokea wanafunzi mwaka huu 2023.

Miradi mingine ni ujenzi wa Zahanati na vituo vya afya pamoja na kuchonga barabara mpya katika maeneo ambayo Halmashauri hiyo imepima viwanja.

Matangazo

  • THE PROVISION OF CONSTRUCTION SUPERVISION CONSULTANCY SERVICES FOR URBAN INFRASTRUCTURE DEVELOPMENT IN MPANDA MUNICIPALITY UNDER THE TACTIC PROJECT March 06, 2025
  • TANGAZO LA AJIRA ZA MKATABA December 27, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI January 03, 2024
  • KUITWA KAZINI January 06, 2024
  • Tazama zote..

Habari za Hivi Punde

  • SERIKALI YALETA BILIONI 29 MANISPAA YA MPANDA NDANI YA MIAKA 5

    June 19, 2025
  • SERIKALI YALETA BILIONI 29 MANISPAA YA MPANDA NDANI YA MIAKA 5

    June 19, 2025
  • MADIWANI WAAGA RASMI

    June 19, 2025
  • MADIWANI WAAGA RASMI

    June 19, 2025
  • Tazama zote..

Video

Uzinduzi wa Tovuti mpya kitaifa
Video zaidi.

Kurasa za Haraka

  • Revenue Collection Dashboard for Katavi Region

Tovuti Zinazohusiana

  • TAMISEMI
  • Utumishi wa Umma
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

professional Writing Service

Ramani

Wasiliana Nasi

    Ilembo, Kasimba area

    Anuani ya Posta: 216, Mpanda

    Simu ya Mezani: +255-2529529

    Simu: +255-2529529

    Barua Pepe: md@mpandamc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa Mpanda. Haki Zote Zimehifadhiwa.