• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Mpanda Municipal Council
Mpanda Municipal Council

Jamahuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa Mpanda

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Mission and Vission
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Afya
      • Ujenzi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii
        • Tasaf
      • Fedha na Biashara
      • Usafishaji na Mazingira
      • Mipango, Takwimu, Uchumi na Tathmini
      • Land and Town Planning
      • Ufugaji na Uvuvi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ufugaji Nyuki
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Habari na Mahusiano
    • Muundo wa Taasisi
    • Kata
    • Streets
  • Fursa za uwezekezaji
    • Vituo vya Utalii
    • Sekta ya Madini
    • Sekta ya Viwanda
    • Sekta ya Uvuvi
    • Sekta ya Kilimo
    • Sekta ya ufugaji
  • Huduma zetu
    • Elimu
      • Rungwa Sekondari
      • Mpanda Girls Sec School
    • Heath
    • Usafi na Mazingira
    • Maji
    • Ardhi na Maliasili
    • Ujenzi na Miundombinu
    • Woman Empowerment
  • Madiwani
    • List of Counciolors
    • Standing Commitees
    • Time table
      • Vikao vya Madiwani
    • Makablasha/Taarifa za Baraza
  • Miradi
    • Miradi inayo tekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • By laws
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Taarifa
    • Fomu
    • Miongozo
    • Strategic Plan
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za shughuli za ofisi
    • Speech
    • Albamu
      • Meya Mpya
    • Makala

Mkuu wa Mkoa wa wa Katavi afanya ziara Idara ya ardhi

Posted on: June 14th, 2018

Mkuu wa Mkoa wa Katavi Meja Generali (Mst) Raphael Muhuga amefanya ziara katika ofisi ya ardhi ya Halmashauri ya Manispaa ya Mpanda.

Katika ziara hiyo mkuu wa mkoa akiwa ameambatana na kamati ya malalamiko ya mkoa aliwaeleza watumishi wa idara ya ardhi kuwa ameamua kufanya ziara hiyo ili kujionea halihalisi ya utendaji kazi wa idara hiyo pamoja na namna walivyojipanga ili kupunguza migogoro itokanayo na ardhi.

Aliwaeleza kuwa katika mkutano wake wa hadhara uliofanyika 14/04/2018 katika viwanja vya azimio zaidi ya asilimia 80 ya malalamiko yaliyowasilishwa yanatokana na airdhi, hivyo amewataka watumishi hao kila moja kufanya kazi kwa kufuata sheria na kanuni  na taratibu za utumishi wa umma huku wakilenga kupunguza au kumaliza kabisa migogoro ya ardhi.

Aliendelea kueleza kuwa maeneo mengi katika katika Halmashauri ya Manispaa ya Mpanda yana viwanja vilivyopimwa muda mrefu ambavyo haivijaendelezwa kwa mujibu wa sheria, hivyo alimtaka Mkurugenzi kufanya utambuzi wa maeneo hayo ili taratibu wa kuvifuta viwanja hivyo zianze mapema.

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA MKATABA December 29, 2025
  • TANGAZO KWA WAFANYABIASHARA WOTE December 31, 2025
  • Tazama zote..

Habari za Hivi Punde

  • RC MRINDOKO AONGOZA ZOEZI LA UPANDAJI MITI MANISPAA YA MPANDA,ASISITIZA UTUNZAJI WA MAZINGIRA

    January 28, 2026
  • DC JAMILA AUNGANA NA DKT SAMIA KUPANDA MITI

    January 27, 2026
  • WAZAZI NA WALEZI WAHIMIZWA KUWAPELEKA WANAFUNZI SHULENI KWA WAKATI

    January 13, 2026
  • WAKULIMA MANISPAA YA MPANDA WAGAWIWA MICHE YA KOROSHO BURE

    January 09, 2026
  • Tazama zote..

Video

Uzinduzi wa Tovuti mpya kitaifa
Video zaidi.

Kurasa za Haraka

  • Revenue Collection Dashboard for Katavi Region

Tovuti Zinazohusiana

  • TAMISEMI
  • Utumishi wa Umma
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

professional Writing Service

Ramani

Wasiliana Nasi

    Ilembo, Kasimba area

    Anuani ya Posta: 216, Mpanda

    Simu ya Mezani: +255-2529529

    Simu: +255-2529529

    Barua Pepe: md@mpandamc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa Mpanda. Haki Zote Zimehifadhiwa.