Posted on: January 12th, 2019
Mkuu wa Wilaya ya Mpanda Mama Lilian Charles Matinga mapema leo amezindua zoezi la kugawa viatambusho vya Wajasiliamali na Machinga katika Wilaya ya Mpanda vinavyofahamika kwa jina la Vitambuliusho vy...
Posted on: November 29th, 2018
“Mimi sio mtu wa kusifia sifia lakini kwa hili naomba niseme, stendi hii ni moja kati ya stendi bora kabisa Tanzania. Ujenzi wake ni wa viwango, mimi binafsi nimeridhishwa sana na ukamilisha...
Posted on: November 10th, 2018
Mkuu wa Wilaya ya Mpanda mama Lilian Matinga amefanya mkutano wa hadhara na wafanyabiashara wa soko la buzogwe, Mpanda hotel na Buzogwe mapema leo. Mkutano ulilenga kusikiliza kero na matatizo yaliyop...