Posted on: November 10th, 2018
Mkuu wa Wilaya ya Mpanda mama Lilian Matinga amefanya mkutano wa hadhara na wafanyabiashara wa soko la buzogwe, Mpanda hotel na Buzogwe mapema leo. Mkutano ulilenga kusikiliza kero na matatizo yaliyop...
Posted on: November 26th, 2018
Mkuu wa wilaya ya Mpanda Mama Lilian C. Matinga ameliomba Baraza la Madiwani la Manispaa ya Mpanda kumuunga mkono kuwakataa waalimu wasiokuwa na maadili ambao wanawatongoza wanafunzi wao.
Ombi hilo...
Posted on: October 2nd, 2018
Mkuu wa Mkoa wa Katavi Mhe. Amos G. Makalla amewakabidhi Wakuu wa Wilaya zote za Mkoa wa Katavi jumla ya pikipiki 58. Makabidhiano hayo yamefanyika mapema leo katika ofisi ya za Halmashauri ya Wilaya ...