Posted on: November 29th, 2018
“Mimi sio mtu wa kusifia sifia lakini kwa hili naomba niseme, stendi hii ni moja kati ya stendi bora kabisa Tanzania. Ujenzi wake ni wa viwango, mimi binafsi nimeridhishwa sana na ukamilisha...
Posted on: November 10th, 2018
Mkuu wa Wilaya ya Mpanda mama Lilian Matinga amefanya mkutano wa hadhara na wafanyabiashara wa soko la buzogwe, Mpanda hotel na Buzogwe mapema leo. Mkutano ulilenga kusikiliza kero na matatizo yaliyop...
Posted on: November 26th, 2018
Mkuu wa wilaya ya Mpanda Mama Lilian C. Matinga ameliomba Baraza la Madiwani la Manispaa ya Mpanda kumuunga mkono kuwakataa waalimu wasiokuwa na maadili ambao wanawatongoza wanafunzi wao.
Ombi hilo...