Posted on: August 16th, 2018
Mkuu wa mkoa wa Katavi Mhe. Amos Makalla mapema leo asubuhi amefanya mazungumzo na watumishi wa Manispaa ya Mpanda. Mazungumzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa mikutano wa Halmashauri yakiwa na lengo...
Posted on: August 14th, 2018
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Katavi Meja Generali Mstaafu Raphael Muhuga amekabidhi ofisi kwa ndugu Amos Makalla ambaye ni mkuu wa Mkoa wa Katavi aliyeteuliwa hivi karibuni.
Ma...
Posted on: August 8th, 2018
Halmashauri ya Manispaa ya Mpanda imeibuka mshaindi katika maonesho ya nanenane kwa mwaka 2018 kwa kushika nafasi ya pili ikitanguliwa na Halmashauri ya wilaya ya Iringa.
Maonesho hayo yanajumuisha...