Posted on: August 8th, 2018
Halmashauri ya Manispaa ya Mpanda imeibuka mshaindi katika maonesho ya nanenane kwa mwaka 2018 kwa kushika nafasi ya pili ikitanguliwa na Halmashauri ya wilaya ya Iringa.
Maonesho hayo yanajumuisha...
Posted on: July 26th, 2018
Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. Josephat Kandege leo hii amefanya lziara katika Halmashauri ya Manispaa ya Mpanda. Katika ziara hiyo mhe. Naibu waziri amefanikiwa kutembelea miradi na v...
Posted on: July 23rd, 2018
“Sisi kama madiwani wa Halmashauri ya Manispaa ya Mpanda tunakupongeza sana Mkurugenzi pamoja na timu yako kwa uzalendo wa kusimamia madarasa haya ambayo yamejengwa kwa kiwango kizuri kwa fedha kidogo...